Wednesday, November 28, 2012


 MUNGU NI MWEMA...
Mungu ni mwema siku zote na ni mwaminifu wakati wote yeye huwazia mema katika maisha yetu hata unapopatwa na majaribu mwite yeye ataitika na kusikiliza haja zako.
 

'''''''''Mungu aendelee kukubariki na kukupa nguvu katika yote. Ubarikiwe sana.

No comments:

Post a Comment